Linamo JF-Expert Member Jan 12, 2011 9,976 24,494 Mar 23, 2016 #1 Naomba kujulishwa settings za internet za Halotel. Natanguliza shukrani.
Linamo JF-Expert Member Jan 12, 2011 9,976 24,494 Mar 23, 2016 Thread starter #3 Maxmilian Mkongwa said: unatumia kifaa gan?? Click to expand... Natumia simu
Linamo JF-Expert Member Jan 12, 2011 9,976 24,494 Mar 23, 2016 Thread starter #5 Maxmilian Mkongwa said: umeingia mobile networks? Click to expand... Yani Najua mpaka kwenye APN tatizo sijui kwenye nama naandikaje na kwenye apn
Maxmilian Mkongwa said: umeingia mobile networks? Click to expand... Yani Najua mpaka kwenye APN tatizo sijui kwenye nama naandikaje na kwenye apn
chiefnyumbanitu JF-Expert Member Nov 28, 2015 906 426 Mar 23, 2016 #6 hata hapo andika halotel tu itakaa poa ebu jaribu.
kijana13 JF-Expert Member Sep 24, 2013 1,981 3,626 Mar 23, 2016 #8 Nenda mobile network then Access point name jaza izo then kitu kitakamata
MOTOCHINI JF-Expert Member Jan 20, 2014 27,778 30,749 Mar 23, 2016 #9 Linamo said: Yani Najua mpaka kwenye APN tatizo sijui kwenye nama naandikaje na kwenye apn Click to expand... Ipo hivi. Name- Hits Tz APN -b-internet APN type- default Proxy- pita wima Port-8080 Password-pitawima Nenda mpaka Authentication type -PAP or CHAP APN roaming protocol-IPv4
Linamo said: Yani Najua mpaka kwenye APN tatizo sijui kwenye nama naandikaje na kwenye apn Click to expand... Ipo hivi. Name- Hits Tz APN -b-internet APN type- default Proxy- pita wima Port-8080 Password-pitawima Nenda mpaka Authentication type -PAP or CHAP APN roaming protocol-IPv4
Linamo JF-Expert Member Jan 12, 2011 9,976 24,494 Mar 23, 2016 Thread starter #10 MOTOCHINI said: Ipo hivi. Name- Hits Tz APN -b-internet APN type- default Proxy- pita wima Port-8080 Password-pitawima Nenda mpaka Authentication type -PAP or CHAP APN roaming protocol-IPv4 Click to expand... Sijaelewa halo kwenye name
MOTOCHINI said: Ipo hivi. Name- Hits Tz APN -b-internet APN type- default Proxy- pita wima Port-8080 Password-pitawima Nenda mpaka Authentication type -PAP or CHAP APN roaming protocol-IPv4 Click to expand... Sijaelewa halo kwenye name
J jopss JF-Expert Member Jul 28, 2015 292 448 Mar 23, 2016 #11 Hiyo hapo ndio utapata mtandao faster. Source: Nafanya kazi Halotel Attachments Screenshot_2016-03-23-19-25-46.png 10.3 KB · Views: 555
Linamo JF-Expert Member Jan 12, 2011 9,976 24,494 Mar 23, 2016 Thread starter #12 jopss said: Hiyo hapo ndio utapata mtandao faster. Source: Nafanya kazi Halotel Click to expand... Asante sana nimefanikiwa.
jopss said: Hiyo hapo ndio utapata mtandao faster. Source: Nafanya kazi Halotel Click to expand... Asante sana nimefanikiwa.