the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 887
Siku hizi wizi wa vifaa vya kuhifadhia kumbumbu muhimu huwa vinaibiwa sana haswa komputa , komputa nyingi tumeshuhudiwa zikiibiwa na wengine wakitangaza katika mtandao kuhusu hizo computer zao au simu zao wanatowa mpaka serial numbers na vitu vingine .
Mara nyingi vitu wanavyovitaja kama ushahidi kuweza kupatikana vifaa hivyo ni rahisi kubadilishwa , mfano unakuta matu anasema username yake ni anon2232 , au ina winxp , hdd yake sijui iko hivi na vitu kama hivyo .
Nyingi ya hivyo vifaa inakuwa ngumu kupatikana kutokana na hayo maelezo hayajitoshelezi vizuri kuweza kutafuta hata kama mtu alitumia computer hiyo kulogin katika internet au kuitumia katika shuguli zingine .
Mfano ukitaja serial number zile ni sticker mtu anaweza bandua akabadika ya kwake au akafunika na kitu kingine au akaedit vitu Fulani katika bios , kuhusu os pia mtu anaweza kuifuta na kuweka yake anayojua yeye na maelezo yake .
Tukio hili
Mtu mmoja aliibiwa laptop yake , lakini hakuwa na maelezo yakutosha kuhusu kifaa chake hicho , chakufanya nilimuomba anipe documents zake alizokuwa anaprint kutumia computer ile na vitu vingine alivyotumia kusave file zake .
Maswali yafuatayo ilibidi ajibu
1. Aina ya computer
2. Imetengenezwa na kampuni gani
3. Imetengenezwa mwaka gani , na toleo la ngapi kwa mwaka huo
4. Aina ya Chipset
5. Aina ya Bios , version gani ya mwaka gani
6. Serial Number zake ( kama inazo ) ya monitor , system
7. Aina ya motherboard ( serial numbers zake , imetengenezwa wapi na nani )
8. Aina ya CPU , uwezo wake , Speed yake , imetengenezwa mwaka gani na toleo la ngapi
9. Aina ya network card
10. Aina ya Harddisk Drive , speed yake ,na ukubwa wake
11. Aina ya ram , imetengenezwa na kampuni gani , mwaka gani na speed yake , kama ni ddr aina gani ya ddr , 1 au 2
12. Kama aliitumia katika internet ( watu gani aliwasiliana nao )
13. Kama kuna vifaa vingine vyovyote vimeunganishwa kama kadi
14. Kama kuna alama yoyote