Yawezekana default ya simu ni phone memory, yaani kila kitu kinakuwa saved kwenye simu ikiwemo picha etc. Badili hio setting na baadhi ya vitu uvihamishie kwenye memory card...Nina simu aina ya Huawei G 730, nikitaka kuinstall program yoyote inaniandikia the Space is not enough, delete some programs. Nifanyeje wakati nina Memory card ya GB 8!
Wajuzi tupo, the issue is that, hata kama una memory 16 GB huwezi install app kama RAM imejaa, kama cmu ina RAM ndogo, huezi weka app, fanya hivi, nenda settng>>>then apps>>> chagua apps kama google play, google service, fb, whatsapp etc. then clear data.....it will help you...Hakuna.wajuzi wa hizi simu mkanisaidia jamani?
Apps zote zinaingia kwenye intenal memory. Hili tatizo ni kwa cm za uhawei. Mimi nilikuwa nayo ikanizingu kama nyie. Nikaiuza sasa nina kitu kingine nainjoi.Badilisha setting ya wapi unainstall apps
Mara nyingi huingia kwenye internal memory
Badili ziingie kwwnye SD card
Zilizopo kwenye internal memory zihamishie kwenye SD..nenda settings..apps management...then transfer