Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu. Kugawana ni kujali. Ofisi nyingi huwa na data kwenye excell wanahitaji wahamishie kwenye other program ikiwemo tally, vip payroll na pastel.leo nitawafunza. 1. Fungua program eneo la...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani naomba msaada process za kuflash samsung nexus S GT-I9020A kwa computer
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wizara ya Sheria ya Marekani inasema imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa walipuaji katika tukio la mauaji la San Bernardino na kutangaza kuacha mpango...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa nini Tab 4 nikiweka chaji inaonyesha alama ya X na wakati mwingine inachaji fresh tu. Msaada kwa anayefahamu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilitaka kuinstall App mpya kwenye simu yangu ila kila nikijaribu inaniandikia "insufficient storage" nikajaribu kufuta App moja nikajaribu kuinstall tena ikagoma. Nikafuta nyingine bado ikagoma...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Instagram rolls out 60-second videos starting Tue 29 Mar..Instagram announced on Tuesday that it will soon begin rolling out 60-second video capabilities for its users.
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Wakuu habari za saiz juzi kuna mzigo wa simu umetumwa toka nje kuna wateja wawili wamezingua mmoja ni Sony Xperia z2 mwingine Samsung Galaxy A5. Kati ya simu zote hizo ipi ni bora nimpe mdogo...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Tatizo hili limetokana na kusafirisha hii monitor kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine sasa nadhan ile mitikisiko ya basi tulilokuwa tunasafiria imesababisha kioo cha hii monitor kucrack hadi wino...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadaunaomba mnijuze ni kwa njia gani naweza kuremove vocal kutoka kwenye wimbo na kubakiwa na beat??? Kama kuna software ni software gani?
1 Reactions
22 Replies
14K Views
Hi! Jamani et website ipi naweza download program ya kuchorea nyumba ArchCad pamoja na crack zake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa hapa Dar ni wapi nitapata device/game/gadget nzuri za kuchezea watoto kati ya miaka 3 na 10. Zenye michezo tofauti tofauti.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani hizi ni aina ya simu makapuni mawili tofauti, kwa anaezifahamu simu gani bora zaidi katika yafuatayo >uimara wa simu katika matengenezo >ubora wa camera >storage ya simu >ukaaji wa chaji...
1 Reactions
89 Replies
9K Views
Wadau nimebahatika kusoma short course ya winserver 2003 kama miaka 3 iliyopita,sasa kutokana na nature ya kazi yangu sikuwahi kupata wasaa wa kwenda field au mazoezi yoyote ya jinsi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wenu ,yeyote mwenye uelewa namna ya kuinstall Open source library system (Koha) kwenye Ubuntu ,nimejaribu but am ending somewhere.
1 Reactions
0 Replies
873 Views
Wana jf naombeni mnijuze wapi naweza pata game ya gangster maimi vindication for android
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.una weza set secret chat ambayo msg zinajifuta with in 9 sec 2. Una weza set password kitu ambacho whatsapp huwez 3. Can't be hacked mpaka sasa hivi hakuna mtu aliweza ku hack 3.una weza ku weka...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Microsoft walizindua akaunti ya Twitter kwaajiri ya roboti yao inayojulikana kama Tay ambayo inatumia artificial intelligence kujibu tweets na kujichanganya na vijana, lakini masaa machache baada...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumia FileSystemWatcher kwenye asp.net web application ku monitor changes zote zinazotokea kwenye folder "c:\MyDir". Implementation 1. Nime create class MonitorDirectory , ina static method...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Security, very important! but how many developers do consider security threats at early stages? I once read somewhere, it 10x expensive to 'retrofit' security than to design at the beginning...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu, heri ya pasaka. nilinunua simu aina ya Iphone 4s ila siku delete icloud account iliyokuwepo, nimerestore simu sasa inahitaji apple ID na password. Tatizo simu ni second hand na aliyeniuzia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…