jamani naombeni msaada kama kuna mtu anafahamu namna ya kuweka salio kupitia modem hasa modem ya tigo maana ndio naitumia.
napata shida sana kuweka line kwenye simu halafu unaweka salio then ndio...
Wadau nimekuwa nikipata hili tatizo kwenye simu yangu(samsung galaxy note 4), muda mwingine inawaka na kutoa maandishi na inazima, muda mwingine hata maandishi haitoi wala kuonyesha % za...
Wadau naombeni msaada maana nina kama siku 6 hivi channeli za ITV, TBC, EATV,Channel TEN hazisomi tena kupitia Kodi yangu. Kama kuna anayefahamu naomba msaada.
Natanguliza shukrani!
Moja katika maswali mengi ambayo watu wanajiuliza kutoka katika logo ya Apple ni kwamba kwa nini logo hiyo imeng’atwa upande mmoja?
Moja kati ya sifa kubwa katika kampuni la Apple ni kuwa na...
habarini za asubi wadau, Kuna project naifanya ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizur tatzo ni kwenye free webserver ambako wanatumia php 5.4 na mimi kwenywe localhost nilitumia php 5.6...
Wakuu nahitaji ku shoot video live na kuionesha hapo hapo ukumbini kwa kutumia project nitumie camera gani ambao itatuma data wireless ktk projector nahitaji kushoot na kudisplay event bila nyaya
Habari za wakati huu ndugu.
Naombeni wale wataalamu wa laptop watupe elimu kuhusu namna ya kutambua laptop feki iwe dell, hp. toshiba n.k nimekua nikifatilia sana kwa ukaribu lakini sijafanikiwa...
Heshima kwenu wadau jaman naomba msaada kujua hii kitu podcast studio inafanya kaz kwa style zip na mtu anawezaje kutengeneza pesa ktk hii podcast... Ahsante sana
Wakuu nina tecno y 3 ningependa nii flash but nimeenda duka la tecno nikaambiwa i need to tell them issue nyngine yeyote ndo wa i flash je matatzo gani hutibiwa kwa kuflash cmu??
wadau mimi nilikuwa naomba mnifahamishe bei ya broadband kwa mwezi huko nyumbani (kwa matumizi ya kwenye nyumba).
nataka kujua bei kwa mwezi, speed yake ikoje, kama ni fibre optic au normal...
Moja katika maswali mengi ambayo watu wanajiuliza kutoka katika logo ya Apple ni kwamba kwa nini logo hiyo imeng’atwa upande mmoja?
Moja kati ya sifa kubwa katika kampuni la Apple ni kuwa na...
Habari wakuu.
Kugawana ni kujali.
Ofisi nyingi huwa na data kwenye excell wanahitaji wahamishie kwenye other program ikiwemo tally, vip payroll na pastel.leo nitawafunza.
1. Fungua program eneo la...
Wizara ya Sheria ya Marekani inasema
imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa
kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa
walipuaji katika tukio la mauaji la San
Bernardino na kutangaza kuacha mpango...