Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Intro Tunatengeneza web application kwaajili ya ku track huduma ya tuition katika mkoa wa Arusha, n.k Tunatumia ASP.NET, Razor, MVC, EntityFramework, jQuery n.k Database Design Database hii...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Naomba kujua ni app ipi nzuri yenye kutumia internate ambayo naweza kuwasiliana vizuri na watu hapa Tanzania na nje ya Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi..mm nilinunua katv haka ka 22" kwa ajili ya chumbani...nilikanunua mwezi wa 11 mwaka 2011ghafla mwaka 2012 julai kakagoma kuonyesha...bahati mbaya sina warrant...tatizo lake ni...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Habari wakuu? Mungu ni mwema anatupatia uzima na afya ya kutuwezesha kufanya yetu. Naomba msaada katika hili: Nimeanza kutumia whatsapp web ila nashindwa na sioni sehemu itakayoniwezesha kuset ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni msaada jinsi ya kuflash tecno h6
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Ukikuta TV imeandikwa maneno inamaanisha nini ELED TV - DVBT2 DIGITAL TV
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna simu yangu naipenda kwa kweli ni Samsung galaxy ace gt5830i. Kila nikiweka memory card mpya nikipiga picture kama 15 na video 2 nikiongeza picture zinakuwa black zote. Nishaiweka memory...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Habari wana jf naomba mtu anisaidie jinsi ya kujiunga na snapchat na kusoma taarifa mbalimbali na kuona picha za marafiki, msaada tafadhali nimeidownload tayari nimeifungua hata picha nimeweka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hellow guys.. inahitajika adsense account iliyo fully activated(yenye barua) inahitajika mapema sana..salio la mteja ni sh 45,000 aliye serious anicheki p.m mara moja... thanks
1 Reactions
5 Replies
857 Views
wadau naomba msaada wa kupata marshamallow na kujua jinsi ya kuiweka kwenye hii Samsung....sijawahi upgrade sim manualy so please naomba mnielekeze kama mwanafunzi sio kama mtu anaefahamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada wakubwa nilipo install Bluestack kwenye computer niki open tu program neno hilo linatokea kuwa ms-win-core-errorhandling dil1-1-1 is missing please install first natumia window7 64Bit
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Mashine ya edf inaandika technical overview must be excuted jamaa anataka 100000 Ku solve issue ni bolsto mashineza prima.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman nina samsung yangu nimeiroot sasa nikitaka ku update software..inanambia PHONE HAVE BEEN MODIFIED NO UPDATES...nafanyaje kutoa root.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale wataalamu wa blender software v2.71 nataka ku navigate sphere kuelekea kulia naitaji msaada .
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaamjf swali: Naweza piga simu (landlines) kwa kutumia modem ya huawei,laptop na headphone kwa kutumia software yeyote ile? hapa sija maanisha VOIP.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
msaada wakuu hivi laptop Za Fujitsu lifebook zenye pen calibration huwezi kutumia kidole kama ikitokea pen imepotea
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu tujuzane je naweza kuroot os za windows ..Tusiishie tu kwenye android tujuzane na hukuvpia
0 Reactions
4 Replies
935 Views
Wadau ningependa kufahamu kuhusu hizi line za tigo za 4g,je!ukiweka kwenye simu ambayo haina 4g inaweza kushika 3g na kama inashika speed inautofauti na line ya kawaida!
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Naomba msaada wapendwa,, natanguliza salam,, ni kweli siwezi kuamisha baadhi ya vitu mfano music au picture kutoka simu ya android mfano tecno bum j 7 kwenda iphone yeyote??,tusaidiane
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salam za jumapili nyote! Tafadhani sana wadau wa technology naomba kama Luna applications ambazo naweza kuzitumia kufuta NYIMBO NYINGI zailizojirudia kwenye simu au PC anielekeze au anitajie jinsi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…