Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mahakama ya Kikatiba nchini Afrika Kusini imeiamuru kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kumlipa mwanamume aliyebuni wazo la kutuma ujumbe wa kumuomba apigiwe simu. Gazeti la Sowetan la Afrika...
4 Reactions
1 Replies
5K Views
naomba kujua jinsi kurudisha picha nilizofuta kwenye memory card ama kwenye computer
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf, ivi tecno boom j8, ina 4g na kama ipo unajiungaje , cm yangu ni tecno boom j8 nataka kujiunga na 4g maana huku nilipo 4g ipo msaada mwenye kujua
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wadau.. Ninaomba msaada kujua kuhusu sayansi na uchawi. Je sayansi ni chimbuko LA uchawi? Na je sayansi ni uchawi ulioendelea. Nawakilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba ushauri ni laptop gani niweze nunua ambayo haitanipa shida sana, nilikuwa nafikiria kununua hp envy ya inch 15.6 ila sijawa na uhakika kama ni nzuri, bajeti isizid 1M. Naomba ushauri
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wana jf naoba mnisaidie mwenye kujua nina cd zangu naipenda sana ila zinascrach sana naomba mwenyekujua jinsi ya kuzihuisha ili zirudi kama zamani zioneshe viuri ama nifanyeje.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Pamoja na uongozi wa JF kusema wamerekebisha hili tatizo la thead kujirudia lakini tatizo bado linaendelea
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Mambo mengi sana yamebadilika toka mwaka 2007 ambapo kampuni la Apple lilizindua simu janja yake ya kwanza katika mtiririko wako wa iPhone. Simu hii ililibadilisha kampuni na soko la simu janja...
3 Reactions
7 Replies
6K Views
Multiple user profiles (on unlimited devices) 3 session channels Unlimited endpoints Management Console (enterprise features) Manage up to 1000 unattended devices Support for mobile devices Mass...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni apk gani naweza kuituma kutuma sms alafu mpokeaji aone tu jina na sio namba ya mtumaji. kwa mfano sms ya kuvetify whatsapp ikija huwa inakuja na jina Whatsapp, PANA etc
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NAOMBA MSAADA kuhusu hii app jinsi ya kuapgrage application nakupata premium version
0 Reactions
3 Replies
3K Views
jaman habarin baada ya huu wimbo kusikia umefungiwa nnashauku ya kujua yaliyomo, sasa ikawa mbiombio youtube kufika kule nliyokutana nayo sasa[/IMG] sasa naombeni msaada kama wana tech...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Naomba wenye ujuzi mnisaidie. Attackers might be trying to steal your information from www.google.com(eg paswords,messages or credit cards. Mnisaidie wakuu ni siku ya tatu sasa sometimes...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
msaada wakuu unlock code HUAWEI MODEM E303s 2 IMEI 865994013911977 TZ
0 Reactions
5 Replies
1K Views
In April, Huawei has globally unveiled the much-awaited in its Iconic P Series, the Huawei P9.. Presenting a new extension of its flagship P series, the new Huawei P9 braces Huawei’s forefront of...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Simu yangu internal memory inaniambia imejaa wakat nimefuta vitu vingi tu na hata nikifuta badala ya kuongezeka ndio inazidi kupungua space kwa mfsno kama sasa hiv kuna empty space 350mb ila kuna...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
na tatzo hapa nina simu tecno p5 ina tatzo moja yan nashindwa kuelewa kabisa naireset ila wap yaan inaleta vitu via ajabu ajabu tu mara ijiwashe data connection mara idownload apps ambazo hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina tatizo la laptop , baada ya kuiscan nikairestart sasa ikimaliza kurestart inashindwa kudesplay inaleta meseji hii RuDLL The specific module couldn't found...
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Habari wakuu.. Kusema kweli natanguliza shukrani za dhati kwa huu uzi kwa kuwa.. Nimeweza kuangalia tv nyingi kwenye simu yangu.. Pia nimeweza kuroot simu yangu saiv nainjoy vitu vingi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta kazi jamani nimemaliza masomo yangu ya certificate in information technologyall computer works nafanya
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…