Kutuma SMS kwa aphabet Sender ID

KENNY JEEZY

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
271
273
Ni apk gani naweza kuituma kutuma sms alafu mpokeaji aone tu jina na sio namba ya mtumaji.
kwa mfano sms ya kuvetify whatsapp ikija huwa inakuja na jina Whatsapp, PANA etc
 
Tafuta SMS gateway providers au bulk SMS services. Lazima kuna mmoja ana mobile app inayoutilize API yake.

Anyway, labda nikuambie tu, mara nyingi hizi messages zenye Alphanumeric Sender ID hazitumwi kama utumavyo meseji ya kawaida (kupitia sms centre ya mtandao husika)

Message hizi zinapitia online SMS gateways kwahiyo unatumia Internet kuzituma. Hivyo haziwezi kuwa replied. Kulipia hulipi kwa mtandao wako. Unamlipa SMS provider wako moja kwa moja, na unalipa kabla ya kutumia.

Eleza unataka kuzitumia katika mandhari gani.
 
Nataka kutumia kwa ajili ya Kampuni na ujumbe ni kwenda kwa wateja,
 
Mimi natumia platform ya Infobip. Inaniwezesha kutuma SMS kutoka kwenye software ninazotengeneza moja kwa moja (API). Its a global company, na wana ofisi hapa Dar, Posta. Pitia site yao www.infobip.com kisha create an account, kisha establish contact. Watakupigia simu wenyewe kutoka hapa Bongo.
 
Tunaweza kuelimishana juu ya packages za hao infobip na pros na cons zao ukilinganisha na provider kama Push SMS (sijui kama nimeandika jina lao sahihi)?
 
Back
Top Bottom