Msaada wa Laptop inafeli kudesplay contents

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
3,517
3,133
Nina tatizo la laptop , baada ya kuiscan nikairestart sasa ikimaliza kurestart inashindwa kudesplay inaleta meseji hii
RuDLL

The specific module couldn't found
C\Users\Administrator\AppData\Local \ helufi na namba nyingi hapa

nimejaribu kugoogle wanasema virus wa trojan ameondolewa ila limebaki file lake so inabidi kulidelete, shida pc ikirestart inashindwa kuwaka

Nifanye wakuu,

@Mwl.RTC Chief-Mkwawa
 
jaribu system restore kupitia safe mode. kama hujui kuingia safe mode sema aina ya windows yako utaambiwa hapa
 
windows 8 pro
bonyeza bila kuachia shift halafu bonyeza mara nyingi nyingi f8 kwa pamoja wakati wa kuwasha pc utapelekwa kwenye recovery then hapo utaipata safe mode nafkiri ipo ndani ya advanced

ukushaingia safe mode hapo sasa
1. jaribu kurestore windows kwa kusearch neno system restore kisha kuchagua siku ya zamani kabla hilo tatizo halijaanza

2. virusi havifanyi kazi kwenye safe mode hivyo unaweza uka wascan ukiwa humo na kuwatoa
 
Back
Top Bottom