Your connection is not private

MUME WA JINI

Member
Mar 28, 2016
40
24
Naomba wenye ujuzi mnisaidie.

Attackers might be trying to steal your information from www.google.com(eg paswords,messages or credit cards.

Mnisaidie wakuu ni siku ya tatu sasa sometimes nikiingia kwa intanet kwa kutumia browser yoyote nakutana na haya mambo,lakini kibaya zaidi sijui nini nifanye maana hakuna muongozo wowote ili kutatua hilo.

Nimejaribu kulog out,kubadilisha passwordz lakini bado!

Nimekuja hapa natumai mtanisaidia nini nifanye ili kuondokana na hiyo hali.

MSAAADA WENU PLIIZ
 
Unatumia windows xp?, time/date zipo sawa?
 
Khaaaa, mi nilifikiri connection za sehemu zangu za siri? Yaani kidogo nikubishie. Kumbe hii, khaaaa!
 
Mdau! Hiyo avatar yako hiyo! Mhhhhh!Nimejuta kufungua thread yako!
 
Naomba wenye ujuzi mnisaidie.

Attackers might be trying to steal your information from www.google.com(eg paswords,messages or credit cards.

Mnisaidie wakuu ni siku ya tatu sasa sometimes nikiingia kwa intanet kwa kutumia browser yoyote nakutana na haya mambo,lakini kibaya zaidi sijui nini nifanye maana hakuna muongozo wowote ili kutatua hilo.

Nimejaribu kulog out,kubadilisha passwordz lakini bado!

Nimekuja hapa natumai mtanisaidia nini nifanye ili kuondokana na hiyo hali.

MSAAADA WENU PLIIZ
Duh hiyo avatar, mkuu unaonaje uibadlishe
 
Back
Top Bottom