Tecno boom j8 ina 4g?

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Habari wana jf, ivi tecno boom j8, ina 4g na kama ipo unajiungaje , cm yangu ni tecno boom j8 nataka kujiunga na 4g maana huku nilipo 4g ipo msaada mwenye kujua
 
Lazima ufike office za tigo au mtandao wowote wenze 4g ubadilishiwe line upewe ya 4g
 
Technology

GSM: GSM 900 / 18003G: HSDPA 900 / 21004G: LTE 800 / 1800 / 2,600SIM Type: Dual SIM (Micro SIM, dual standby)OS: Android 5.1 Lollipop with HiOS UI

Ndio simu yako ina 4G nenda tigo wa swap line yako ni bure kabisa.
 
JE KUNUNUA SIMU HIYO TECHNO J8 AU SAMSUNG GALAX J3 AU TECHNO L8 AU TECHNO C8..JE IPI NI BEST KWA MTUA WA FIELD? NAOMBA USHAURI ILI NIAMUE SIMU YA KUKUNUA KWA SH 300-350 tSH
 
Samsung j3 ya mwaka huu?
 
JE KUNUNUA SIMU HIYO TECHNO J8 AU SAMSUNG GALAX J3 AU TECHNO L8 AU TECHNO C8..JE IPI NI BEST KWA MTUA WA FIELD? NAOMBA USHAURI ILI NIAMUE SIMU YA KUKUNUA KWA SH 300-350 tSH

kama mwezi uliopita nilinunua galaxy j5 kwa 390 ni nzuri kushinda zote hapo juu na ukaaji chaji ni mkubwa mno. pia kioo chake ni amoled na software yake inakubali kudownload themes (touchwiz mpya) ukiweka dark themes (rangi nyeusi) kioo cha amoled hudisplay rangi nyeusi kwa kuzima pixel hivyo simu huzidi kukaa na chaji.

j3 sio simu mbaya ila processor yake ni ya kizamani inatumia cortex a7 wakati sasa hivi makampuni mengi yamehamia 64bit kama hujali hio processor j3 na j5 ni simu moja zinafanana kila kitu battery, display, ram, storage, camera etc
 
Hizo simu mnazipata wapi? mbona
wakorea wenyewe hawajazitoa Samsung
to launch Galaxy J5, J7 smartphones in
India on May 9 - Times of India
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom