Ushauri kuhusu laptop ya kununua

Cyduu

Member
May 30, 2013
39
3
Naomba ushauri ni laptop gani niweze nunua ambayo haitanipa shida sana, nilikuwa nafikiria kununua hp envy ya inch 15.6 ila sijawa na uhakika kama ni nzuri, bajeti isizid 1M. Naomba ushauri
 
hp
dell
lenovo

cpu core i5 au zaidi
RAM 4GB au zaidi
hdd 500GB au zaidi
 
Civil engineering kaka
hapo utahitaji laptop yenye processor ambayo ina single thread perfomance kubwa, sababu software nyingi za ujenzi utakazokutana nazo zinahitaji processor za namna hio na kama kuna software utakayohitaji kuitumia ni vyema pia ukaitaja ili tuhakiki requirements za hio software na aina ya laptop utakayonunua.

laptop nyingi zinazokuja Tanzania ni zile ambazo ni za matumizi ya kawaida hata ukikuta i3/i5/i7 zinakuwa zinaishiwa na U hivyo hizi hazikufai na inabidi kuwa makini.

1. unaweza kuagizia nje?
2. unanunulia hapa hapa ndani.

kama unanunulia nje ushauri wangu ongeza kidogo budget nunua laptop hii hapa
Amazon.com: Newest HP Pavilion 15.6-Inch Full HD 1920 X 1080 IPS Touchscreen High Performance Premium Laptop, Intel Core i7-6700HQ, 8GB, 1TB HDD, DVD+/-RW Drive, HDMI, Bluetooth, Windows 10 - Silver: Computers & Accessories

kwa sasa hio ndio laptop ya bei rahisi zaidi ambayo ina i7 quad core, itafanya almost mambo yote ya fani yako.

kama unanunua hapa Tanzania zunguka madukani Tafuta laptop yenye processor hizi
-i3 4110m
-i5 4200m
-i5 4300m
-i7 4600m

bei zake ni around hio budget yako.

ukikosa kabisa chukua laptop hii ni ya U version lakini atleast kidogo ina nguvu.

440 ProBook G3 - 14

processor yake ni i5 6200u.
 
Asante sana kaka, ngoja nishuhulikie
 
nauza laptop ila ina matatizo kadhaa... nahitaji tu kupunguza vitu visivyotumika ndani kwangu. niPM ukihitaji
 
kama ni matumizi ya kawaida tu
Lenovo G50-80 G Series G50-80

  • Core i3 (5th Gen
  • 4 GB DDR3 RAM
  • 1 TB HDD
  • hii laptop ni nzuri kwa matumizi madogomadogo ya kawaida
  • Music movie
  • browsing
  • Games kidogo.
 
Back
Top Bottom