nicholousaloyce
Member
- Sep 26, 2012
- 26
- 1
natafuta kazi jamani nimemaliza masomo yangu ya certificate in information technologyall computer works nafanya
nashukuruni jaman kwa mawazo yenu
Nakushauri wakati unasubiri kupata hiyo kazi. Jaribu kutumia ujuzi ulioupata darasani kufanya IT related businesses zinazohitaji akili yako, creativity na computer.natafuta kazi jamani nimemaliza masomo yangu ya certificate in information technologyall computer works nafanya