Msaada jinsi ya kuangalia video ya chura youtube

Msaada jinsi ya kuangalia video ya chura youtube

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
644
jaman habarin
baada ya huu wimbo kusikia umefungiwa nnashauku ya kujua yaliyomo, sasa ikawa mbiombio youtube kufika kule nliyokutana nayo sasa
2957fa527b923e8c9cc1c2368b7c2bf3.jpg
4b79f71ece3ca85ce88751928da00b41.jpg
[/IMG]

sasa naombeni msaada kama wana tech tunacangaje sasa kubypass hiki kikwazo maana nasikia kenya hapo wanaicheki vizuri tuu
 
Nadhani unataka kuonja segerea. Unamsaidia mtu kutenda kosa? An accomplice....
Hamna kosa hapa, kosa ni kusambaza video.. Kama waziri alivyo sema... Hamna sheria inayokataza use of Vpn.

Watakushika ukiisambaza whatsapp au Facebook, lakini itakuwa ngumu kukushika WhatsApp kwa sababu ya end to end encryption.
 
daaah aisee nimeingalia chura mda huu kiufup iko poa japo kwa under 18 sio njema
 
Ahahaaa watu wanayo ngoja wamalize kudownload toka kwenye simu zao watatuma kwa njia mbadala
 
Ila utafungwa serikali imekataza chura kutoka hadharani abaki kwenye maji huko huko, tii sheria bila kushurutishwa
 
Heshima kwako mkuu. Mbinu yako imeniwezesha kudownload chura kiulaini na sasa naangalia tu vyura wanavyorukaruka na kunesanesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] shukran sana mkuu

Hahahah haya tumtazame chura sasa kiulainiii
 
Back
Top Bottom