Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
Habari wakuu..
Kusema kweli natanguliza shukrani za dhati kwa huu uzi kwa kuwa..
Nimeweza kuangalia tv nyingi kwenye simu yangu..
Pia nimeweza kuroot simu yangu saiv nainjoy vitu vingi sanaaaaa..
Mwisho naomba mwenye hio thred aniachie namba yake hata nimfurahishe kidogo ..
Much thanks