Msaada wa kurekebisha cd iliyo na scratches

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Habari wana jf naoba mnisaidie mwenye kujua nina cd zangu naipenda sana ila zinascrach sana naomba mwenyekujua jinsi ya kuzihuisha ili zirudi kama zamani zioneshe viuri ama nifanyeje.
 
Tumia deki ya singsung nayo ikigoma hakuna namna tena maana mchubuko ukipita haufutiki tena ndio tatizo la cd.
 
nunua ndizi tamu. menya. kula ndiz tamu. (banana)
chukua maganda yake na tumia kusafishia
 
kwel iyo mkuu???
First, apply toothpaste to the scratched area and massage it gently into the surface using a rag. Then, remove the paste and take a piece of peeled banana and rub it in circular motions into the DVD. Next, take the peel and do the same thing. After, clean the disc using a cloth and spray window cleaner onto it.
 
Mwenzenu yuko siriazi nyinyi mnaleta utani sio poa kabisa.
 
Kwakweli watu sijui wamekuwaje naleta mada huku nikijua ntapata msaada kumbe hamna watu wako kimzaha
 
Habari wana jf naoba mnisaidie mwenye kujua nina cd zangu naipenda sana ila zinascrach sana naomba mwenyekujua jinsi ya kuzihuisha ili zirudi kama zamani zioneshe viuri ama nifanyeje.
Mkuu kwa kiji nchi kama cha tanzania kupata wataalam wa kukusaidia ama kukurekebishia ni ngumu mfano michubuko ya kwenye cd ni ulemavu tayari kweli kwa wenzetu wana mitambo ya kusoma cd kama hizo ila hata hivyo cd zao ni za viwango sio zetu za kiwango hafifu


Angalizo kuwa makini na watu wa humu jf waweza kukushauri hata wakwambie uchukue maji ya ukweni kwa mkeo usafishie cd yako ili ionyesheee
 
Back
Top Bottom