Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,167
- 17,319
Simu yangu internal memory inaniambia imejaa wakat nimefuta vitu vingi tu na hata nikifuta badala ya kuongezeka ndio inazidi kupungua space kwa mfsno kama sasa hiv kuna empty space 350mb ila kuna ma file nikifungua naambiwa not enough space....natumia tecno h6...