Tatizo kwenye tecno p5

valera

New Member
Mar 14, 2016
4
1
na tatzo hapa nina simu tecno p5 ina tatzo moja yan nashindwa kuelewa kabisa naireset ila wap yaan inaleta vitu via ajabu ajabu tu mara ijiwashe data connection mara idownload apps ambazo hata cjaruhusu halaf nikitaka kuireseet kwa hard reset inaniandikia no command yan nashindwa kuitumia kabisa hata kuandika sms siwez inakuwa kama inajitouch touch haswa ikijiwasha data asa sijui hapo tatzo ni nini na vipi naweza kutatua na haina tatzo la screen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom