chotarasukari
Senior Member
- Jan 6, 2013
- 110
- 23
Habari zenu wadau..
Ninaomba msaada kujua kuhusu sayansi na uchawi. Je sayansi ni chimbuko LA uchawi?
Na je sayansi ni uchawi ulioendelea.
Nawakilisha
Ninaomba msaada kujua kuhusu sayansi na uchawi. Je sayansi ni chimbuko LA uchawi?
Na je sayansi ni uchawi ulioendelea.
Nawakilisha