Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau nimepata clip inayoonyesha matanzazo ya bunge kwa njia ya dish tujaribu halafu tulete mrejesho hapa
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawezaje kufaham life span ya simi yoyote au pc. Wajomba nielimisheni nami nikaelimishe
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nna tatizo ila sijajua lipo kwenye laptop au charger yake? Niki chomeka adapter taa yake inawaka ila kwenye laptop haionyeshi kuwa ina ingiza. Nime jaribu kutoa betri nakuchomeka direct...
0 Reactions
3 Replies
652 Views
Nime install videofx audio video maker napo taka kuanZa kurecord inaandika failed to initialize recording tatizo ni nni nnaombeni msaada wakuu
0 Reactions
0 Replies
592 Views
msaada mwenye file tajwa hapo juu naomba anisaidie nina shida nalo sana. Asanteni.
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu kwema? Nilikuwa nahangaika kuroot simu yangu C8, nimepata maelezo kutoka link flani. Unaweza kuroot bila kutumia PC na ni very simple. Fuata tu maelekezo kwenye hii link/Web address. Tecno...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Wana jamvi nimesahau password yangu ya Snapchat kama kuna anayeweza kunisaidia kuirudisha please anisaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu wana Jf, simu yangu iphone 4s imetumbukia ndani ya maji kwa muda wa kama sekunde 5 hivi nikafanikiwa kuitoa na kwa bahati nzuri ikaendelea kupiga kazi kama kawa ila tatizo ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habarini za muda huu wadau.. Nina shida nimekumbana nayo kuhusu upatikanaji Wa files mbalimbali nilizozihifadhi katika cloud storage. Kila nikiingia kwenye email yangu kuangalia nilichokiifadhi i...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nasikia ukibadilisha imei na kuweka za simu geniune,TCRA hawawezi kuifunga. Je ni kweli? Na je zoezi hilo linafanyikaje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Laptop yangu ishawah kuungua kitu flan ndan nikapeleka kwa fundi akabadilisha akarudisha. Imerudi ina tatizo la mouse ina stuck. Unapowasha mara ya kwanza inafanya kazi kidogo then ina stuck mpaka...
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Jamani wana JF naombeni mwenye Microsoft word 2013 activeted anisaidie nidownload au anaejua link ya sehemu nayoweza kudownload nitashukuru.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za humu ndugu zangu Ipo hivi nina simu yangu ambayo ni TECNO F5 ambayo nilipenda sana nitumie huduma ya 4G katika setting zangu ina Sehemu imeandikwa LTE ambayo ni 4G sasa tatizo lipo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari humu jamaa na marafiki. Nahitaji software kwa ajiri ya results analysis kwa wanfunzi wa secondary. Naomba msaada kwa aliyonayo tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Laptop yangu ishawah kuungua kitu flan ndan nikapeleka kwa fundi akabadilisha akarudisha. Imerudi ina tatizo la mouse ina stuck. Unapowasha mara ya kwanza inafanya kazi kidogo then ina stuck mpaka...
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Wadau heshima kwenu.kuna simu nikiweka laini ya halotel mtandao unasoma lakini internet connection haisomi.Litakua tatzo ni nini make laini hiyo hyo nikiweka kwema kwenye simu nyingine internet...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Hii network ya vodacom 4G ina operate kwenye band gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Nina Samsung Yangu Mpya Galaxy J5. Kiukweli Inatunza Chaji Pale Ambapo Huitumii Ila Ukianza Kuigusa Basi Unaona % Za Chaji Zinavyoshuka. Kwa Wenye Kujua App Gani Nzuri Ya Kutumia Ili...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habar zxaiv wakuu tatizo ni ili kila ninapo ingia fb, Nikisha log in ina andika security na chini panakua na submit nime change password kama mara hamsini ivii... bado tatizo nilile lile
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina vodafone 785, ilikuwa inafanya kazi vizuri sana lakini kuna siku niliconnect na desktop yangu nikaletewa ujumbe format phone memory bila ajizi mzee nikaiformat lahaula!!!! nilivyodisconect na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…