Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna jamaa hua wananitumiatumia code zao humu jf nazicheki sasa nimekutana na hili tatizo many times sijui kwa nini. Em angalia hizi for loops mbili, zote zinafanya kazi moja ila jaribu kuniambia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni siku kadhaa sasa najaribu kutoa kiasi cha pesa kutoka akaunti yangu ya crdb bila mafanikio nimejaribu kutoa kupitia mpesa na fahari huduma kupitia simbanking bila mafanikio ,ninafika had kwny...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Best software and App to download Movie (Swahili Version)
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimejaribu kujisajili kwa Google Adsense ila wamegoma kwa sababu ya lugha pamoja na na post zangu zina picha nyingi. Nifanye nn ili niweze kuweka Adsense kwenye blog ya Kiswahili?
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Bei
wanajukwaa naombeni kujua bei ya tecno c5 kwa dar
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Jamani anae faham jins ya ku apdate android mfano unataka ku update toka android 4.4.1 kwenda android 5.1
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Hello Friends, Convert Ur Android Phone Into ATM [emoji298]Great news!!! Now u can do big - Hello friends...Great news!!! Earnings thru ur mobile... Your mobile can gives you different types of...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Habari wakuu, Kwanza nifanye declaration kuwa mimi sina utaalamu sana kwenye mambo ya networking. Ninafungua ka ofisi kadogo ila nimetengeneza rough diagram lakini naomba ushauri kama ni kitu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jinsi ya kufunga matenki ya nje ya Wino
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Sijajua inakuajekuaje lakini tangu waanzishe hii kitu ikifika hiyo mida ya saa sita huwa natumia youtube, playstore, na naperuzi website yoyote na kudownload kupitia browser ya chrome na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wana jf natafuta new version ya hiyo game mimi nina ya mwaka 2004 kama kuna mwenye link ya new version anijuze natanguliza shukran
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wadau angalieni ujumbe huu chini hapa. May the peace of God be with you and your family!! I want to inform you that your bank draft cheque of 300,000 dollar is now with United Bank for Africa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam, Ni email account yangu ya muda mrefu sana, sija log in kwa miezi kadhaa, sasa kuna document muhimu nataka kuifoward mahali naambiwa haitambuliki... msaada tafadhali. Nimejaribu kucheki...
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Betri inapobaki asilimia ngapi ya chaji inafaa kuchajiwa tena? Mwendo kasi wa kuchaji simu ya mkononi unabadilikabadilika. Baadhi ya wakati unaichaji simu yako kwa muda mfupi lakini inaweza...
5 Reactions
13 Replies
6K Views
Habarii za asubhii wadau.....shida yangu ni naweza pataje apps ambazo play store lazma ulipie ila kwa free bila kulipia.....njia gani naweza tumia kuzipta.....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam wakuu, Habari za asubuhi? Natumaini kwema wakuu. Ningependa kushare site ya kudownload mp4 mobile movies japo ziko nyingi Ila personally naikubali sana hii. As you know wakuu sisi...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Nahitaji PeopleSoft FSCM kwa ajili ya kujifunzia, ningependa kupata zile VM images zinazotolewa na Oracle kwenye site yao (Hakan Biroglu: Installing PeopleSoft 9.2 pre-build virtual machine), sema...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Habari! Wakuu naombeni msaada wenu. Mimi natumia decoder ya x master q16. Sasa kwa sasa software yake imekwisha muda wake...sasa je naweza elekezwa jinsi ya kuidownload update software na kisha...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
natumaini wote salama.. wakuu naomba msaada natafuta mtu ana provide server channel za iptv hasa chanel za bongo ndio muhim kwangu / sitaki application za bure wala links za bure nataka mtu anatoa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wakuu, juzi nilijaza wino kwenye printer yangu ya epson l800 lakin ghafka ikaanza kutoa picha za kufifia na hainipi meseji yoyote kama kuna tatizo. naomba ushauri wa nini nifanye.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…