Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ofa imekwisha, Asante kwa wale walio onesha ushirikiano || Offer has been expired! Thanks for those who show their supports.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau? Nina Laptop yangu ambayo nilikuwa naitumia kwa shughuli mbalimbali nashangaa kwa sasa imegoma kupata internet japo nikiunganisha modem inaconnect vizuri na speed inakuwa poa tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenzangu simu yake haipokei wala kupiga au kutuma na kupokea SMS lakini anatumia data kuperuzi na whatsapp.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau? Simu yangu ya LG inakataa kuchaji mpaka niizime ndo inachaji. Je ushawahi kukutana na tatizo hilo au una experience yoyote kuhsu hilo? Naomba msaada wadau nilitatueje.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za jioni wakuu, natumia HTC one m7 lakini tangu juzi simu yangu imekuwa kwenye mode ya limited services so siwezi kupiga simu wala kutuma meseji, lakini cha ajabu matumizi mengine ya data...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF naomba kujulishwa wapi kwa Dar nawezapata fito za dish la ft 8 la bati(sio la wavu). Aidha, nijulishwe na bei yake.
0 Reactions
2 Replies
997 Views
3 Skypephone 4Nine Accord ACE Ace Acer ACME Adcom ADVAN AEG Aigo Aimax Ainol Aircel Airis AirTyme Akai Alcatel Aldo Allview Allwinner Aluratek ALVO Amazon Ambrane AMC Amgoo...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Na uhakika hakuna simu itakayozimwa Leo Kuna simu original zina imei fake Na kuna simu fake zina imei original HII PROGRAM ILIANZA KENYA ....ILISHINDIKANA MPAKA KESHO WAKENYA WANADUNDA NA SIMU...
9 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakuu, Nimeweke information zote znahitajka sijapata barua ya Google niverify listing. Naomba msaada kwa aliyewahi. Thanks!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi Nilidownload adobe photoshop CC sasa lakini nime experience matatizo mawili ambayo naomba msaada kwa wanaofahamu zaidi. 1.Adobe photoshop 3d haifanyi kazi. Kazi zote nafanya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hapa Dar naweza kupata wapi fundi wa uhakika wa simu tajwa hapo juu??????waweza nipigia 0787415306
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guys vip?? Hivi ni namna gani naweza pata rangi safi kama hizi na jinsi ya work na picha yenye details nyingi hivi....
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Hellow there, Am a developer I came up with the webapp idea which will kick down mkito and mdundo hence dominating the online artistic sales around the world. Features of the webapp: Allowing...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Leo katika pitapita zangu nkakutana na hizi simu..INFINITY SMARTPHONES..wenye kuzijua...kweli hizi simu sio za mwezi june...TCRA?? Je, vipi kuhusu ubora na uimara wake...?? Naomba kuwasilishaa
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Nilinunu simu yangub aina ya Samsung s4 Marekani mwaka mmoja uliopita, ajabu nimegundua kuwa IMEI iliyopo nyuma ya simu, ni tofauti na ile ya ndani ambayo naipata baada ya kuingiza number *#06#...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii inatokea mara nyingi kila ninapompigia mtu ambaye hana salio hasa tigo kwenda tigo. Sababu ni nini wakati mimi ndie ninayepiga hasa kwa ndugu zangu wa kijijini? Mpaka nitume salio kidogo ndio...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
ni baada ya kutuma IMEI ya simu yangu ya zamani MOTOROLA L6i , kwenda namba 15090. Na majibu ni MOTOROLA LLC, LENOVO COMPANY,....kama nilivyoambatanisha, kwenye picha.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba wataalamu wa computer kunisaidia ku unlock word doc ambazo ckumbuk password yake
0 Reactions
4 Replies
825 Views
nimekua nikitamani sana kununua vitu ebay na amazon ila naingiwa na wasiwasi sana kuhusu usalama wa pesa zangu. nnimekua nikifatilia sana kupatana.com na hayo masoko hapo juu naingiwa na wasiwasi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…