Wakuu msaada kwenye sumsung yangu imegoma kabisa kusoma mitandao jana ilikuwa haisomi mtandao mmoja yaani VODA ila kwa sasa imegoma kabisa mitandao yote, haisomi, ila internet inafanya kazi, Nini...
Habar za mchana wakuu,
Laptop yangu ni Aina ya dell vostro 1200 mwanzo ilikua na tatizo LA kuzima yenyewe hata kama ilikua haijapata joto Sana, sasa basi tokea juzi haiwaki kabisa. Msaada wakuu...
Tatizo Limeanza Jana Nilipoiwasha Ikawaka Na Kuonyesha Boot Options Lakini Windows Haikuload Nikadhani Ni Windows Imecorrupt Kila Nikijaribu Kuweka Windows Nyingine Inagoma. Kufikia Usiku Ikawa...
Siku za hivi karibuni nimesikia baadhi ya marafiki na watu wa karibu wakilalamika kwamba kuna watu wamekuwa wakiwadukua mawasiliano yao.
Kwamba chochote wanachofanya wao iwe kupigiwa simu ama...
Habarin wadau naomba kufahamshwa n bank gan (mbal na CRDB) naweza fungua akaunti bila usumbufu wa kupeleka barua toka serikal za mitaa ila wawe na master au visa card
Wakuu nahitaj ushaur kwa wale matechinician wa computer ..nina laptop yangu kuna baadhi ya button hazifanyi kaz ...na pia mouse haisens..laptop yangu ni acer..msaada wa mawazoo wakuu...
Salaam,
Naomba kujua fundi mzuri wa LG nina simu yangu aina ya LG G4 ilianza tatizo la kuzima ghafla na kuchukua mda mrefu kuwaka.
Ikiwaka ukiingia kwenye programu yoyote inazima tena na...
habari zenu wanajf,naomben mnijuze vp ntaweza kuanzisha website yng mi mwenyewe au kuna process zp ambazo natakiwa kufuata kufanikish hvyo?naombeni msaada sana wandugu natumia nokia6120c au kama...
Wadau naomben mnisaidie hapa hiv nnaweza ku'upgrade android version ya 5.1 (phantom 5) kwenda version 6
Kama inawezekana unafata hatua zip ili niweze ku'upgrade
Habari,
Elimu ni bahari, na popote pale waweza pata elimu,
kwa kuzingatia hilo naleta kwenu wana jamvi, ombi la kufafanuliwa kwa undani juu ya lenses za Digital Cameras kama NIKON au CANON na...