Nashindwa kupata menu ya mpesa,tigo pesa n.k

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
324
184
Habari
Ninatumia windows phone ,tatizo ni kuwa siwezi kupata menu za Tigo pesa na mpesa yaani kila ni nikipiga *150*01# au *148*00# nakadhalika inanipa unknown error.naomba mwenye maujuzi ananisaidia
 
Habari
Ninatumia windows phone ,tatizo ni kuwa siwezi kupata menu za Tigo pesa na mpesa yaani kila ni nikipiga *150*01# au *148*00# nakadhalika inanipa unknown error.naomba mwenye maujuzi ananisaidia
Nilikuwa nahisi ungetafuta simu nyingine mkuu namaanisha Android. Hizo simu watu walikuwa nazo zimewasumbua sana wakaziacha. Ushauri wangu ndiyo huo.
 
Nilikuwa nahisi ungetafuta simu nyingine mkuu namaanisha Android. Hizo simu watu walikuwa nazo zimewasumbua sana wakaziacha. Ushauri wangu ndiyo huo.
kwahiyo kwa uzoefu Wako haya yatatokea kwa windows phone??
 
Windows Phone 7 haziwezi kutumika na hizi menu ("USSD") kabisa.

Windows Phone zinazokubali menu ni 8 kwenda juu kwa Lumia hizi ni zenye namba *20 kwenda juu so Lumia 920, 930, 1020, 820 etc.
Sikushauri kununua WP 8 phone sasa maana support inaenda ukingoni ni Android au iPhone kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom