Msaada wa kufungua simu iliyofungwa na mcafee mobile security

kombwe

Member
Feb 17, 2015
76
27
Wakuu habari.

Nina simu LG g3, nilikuwa safarini nikawa na mapumnziko ya siku 2 mjini Maputo, ambako niliuziwa hiyo simu niliyoitaja hapo juu.

Baada ya kuitumia kwa muda wa kama wa mwezi mmoja, simu ikafungwa na mtu aliyesemekana ndiye aliyekuwa mmiliki wa awali na simu inadai password.

Sasa wakuu kama kuna yeyote anayefahamu vizuri hii kitu, achangamkie huu mchongo, kama atakuwa Dar ndiyo vizuri zaidi.
 
Ume jaribu kuwipe user data kwa kutumia recovery?
 
Mkuu unawipe vipi data kwa kutumia recovery au ingia inbox halafu tuone utanisaidiaje..nipo dar na kunamalipo mazuri tu ukiweza..
 
Turn your phone off.*.Press and hold the volume down and power button.*.When the LG Logo appears in the screen, release the power button (keep holding the volume down button), then press and hold the power button again.*.The factory reset menu willappear.*.Agree with the power button and wait for the phone to do its thing.
 
Back
Top Bottom