wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Sikuchukua nataka nije niende na line nijaribu palepale kwanza.So hukuichukua tena mkuu?
Mkuu Hivi bands si ndo hizo zimeandikwa kwa nyuma kwenye hiyo picha ya pili?
Mi mbona ndo naitumia na laini za voda na Tigo.Vipi zinapiga mzigo fresh?
Navyojua modem mpya za Tigo zipo Locked.Vipi umewahi itumia kaka? Me nimeingiwa na shaka nayo bado naitafakari.
Tigo wanauza 100K wenzao TTCL wanauza 80K I think ni same modelNavyojua modem mpya za Tigo zipo Locked.
Na bei mpya ya hizo modem ni 100,000/=
Labda huu msimu wa sabasaba wanaweza shusha bei fanya kufatilia maana kuwa locked sio shida zinaweza kuwa reversed!