Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Salaam jf.
Simu y angu aina ya
Samsung Galaxy Y Duos S6102. Nilifanikiwa kuiroot na kuifanyia custom kutoka 2.3.6 gingerbread kwenda 4.4 kit kat sasa hii kitu 4.4 ikawa imemaliza memory yote alafu ikawa slow sana. Nikaamua kurudi tena kwenye 2.3.6 kwa kutumia odin but sikufanikiwa simu iligoma katika samsung logo na maandishi ya ya samsung yaligeuka kichwa chini miguu juu, Je naweza sema simu ndio imebrick au ?manake hata recovery mode haikubali kioo kina blink kama indicator ya gari alafu ni cheupe hakuna kitu zaidi ya ku blink logo.