Hii ndio tuliambiwa home made Helicopter?

Hii ndio tuliambiwa home made Helicopter?

Sunbae

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
254
Reaction score
176
Habari Wanajamii,

Nauliza hii ndio tuliambiwa Tanzania wameanza kutengeneza helicopter
 
Hapana sio hii....hii imetengenezwa songwe....ile tuliyoambiwa ni chuo cha ufundi Arusha. Ila wakati mwingine huwa nafurahia sana huu unaoitwa ubunifu wa kiTz, huwa najiuliza sana kama tunaipeleka sayansi hatua mia mbele au tunairudisha hatua 1000 nyuma
 
Back
Top Bottom