Naomba kujua ni kwanini hili linatokea, ni kwamba TCRA hawana uwezo wa ku control baadhi ya makampuni au kuna ujanjaujanja??.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kuna mtu nayeye akiweka airtel fresh tuNaomba kujua ni kwanini hili linatokea, ni kwamba TCRA hawana uwezo wa ku control baadhi ya makampuni au kuna ujanjaujanja??.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
usiwabeze, kumbuka kwenye TV walifanikiwa na sasa huwezi kuona kituo chochote cha televisheni nchini Tanzania bila kuwa na king'amuzi. Ni suala la muda tu, jambo hili litafaulu. Naona watanzania sasa tumekuwa watu wa kubeza kila jambo linalofanywa na serikali, ni tabia mbaya sana hii.Kwa ujumla sioni kama TCRA walifanya kitu, nadhani walikuwa wanatafuta atention tu waonekane na wao wapo na wanafanya kazi!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hapa na kupinga me ni shahidi nina tv yangu niko kilimanjaro situmii vingamuzi wala nini ni kadishi ka kawaida najimwaga na channel kibaousiwabeze, kumbuka kwenye TV walifanikiwa na sasa huwezi kuona kituo chochote cha televisheni nchini Tanzania bila kuwa na king'amuzi. Ni suala la muda tu, jambo hili litafaulu. Naona watanzania sasa tumekuwa watu wa kubeza kila jambo linalofanywa na serikali, ni tabia mbaya sana hii.
hapa na kupinga me ni shahidi nina tv yangu niko kilimanjaro situmii vingamuzi wala nini ni kadishi ka kawaida najimwaga na channel kibao
Hili ni zoez endelevu.. subiri zam yako itafika.. hapo ndo utabak unatoa macho kama umeona pepo live.
vingine muwe mnachuna basi aaah!!Naomba kujua ni kwanini hili linatokea, ni kwamba TCRA hawana uwezo wa ku control baadhi ya makampuni au kuna ujanjaujanja??.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums