Wataalamu wa Custom & Logistic

Software Engineer

JF-Expert Member
Dec 20, 2014
344
137
Kuna system moja ya custom nimekutana na hizi terms IM7, IM4, IM5, EX1, n.k

Nimejaribu ku-google lakini bado sijapata business process inavyokuwa kwa kila aina ya hizi terms.

Naomba mwenye uelewa wa haya mambo anipe mfano rahisi na steps zake kuanzia mzigo unaingizwa/tolewa nchini hadi unamfikia mlengwa wa huo mzigo(mfanyabiashara/consumer).

Pamoja
 
Back
Top Bottom