Naombeni msaada kutoa icloud email

Aug 23, 2013
9
5
Mwaka juzi bro alinunua ipad min 3 akatengeneza icloud account n mwaka jana ameniachia na bahati mbaya amesahau icloud password yake na mm inanitesa sielewi ni njia gani ya kuitoa icloud email na kuweka yangu. Mwenye uelewa please msaada. Email aliyoifungua ni md@amazongroup.co.tz
 
Kama hyo email ni yake na anayo pasword , nenda kwenye icloud jaribu kusign in, itagoma lakini huwa ina option ya 'forgot pasword' click then fuata maelekezo, bila shaka watakutumia kwenye hiyo email
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom