Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,525
Habari zenu wadau wa jukwaa hili
Naomba msaada niweze kufungua gmail account yangu maana imenigomea kila ninapojaribu ku-log in inasema wrong password na nimejaribu kufuata procedure za kusahau password wananiambia nijaze mwezi na mwaka niliofungua account, pia nijaze ni lini kwa mara ya mwisho nili log in hivyo vyote sikumbuki maana ni ya mda mrefu sana.
Tatizo limetokea baada ya kureset simu ndo nikataka nirudishe email yangu ile ile.
Msaadatafadhali kama kuna mjuzi mwenye knowledge hapo