Shockwave may be busy... nakutana na hili tatizo katika browser ya firefox

Plan Of Action

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
462
500
jamani kila wakati website zinasimama na kuganda halafu inakuja hio message kuwa shockwave may be busy.. sijajua namna ya kurekebisha.
Msaada wenu hapa wakuu
 

Plan Of Action

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
462
500
nimeambatanisha na screenshot hapa
 

Attachments

  • Screenshot 2016-07-20 22.12.55.png
    File size
    261.6 KB
    Views
    70

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,074
2,000
Install shock wave player au adobe flash player.browser zote zipo supported na flash player.. ..degree ulisomea wapi kaka?kilosa nn
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom