Msaada wa haraka 4.2.2 OS ya samsung galaxy ace 3

Msaada wa haraka 4.2.2 OS ya samsung galaxy ace 3

Likasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
857
Reaction score
441
Wadau nimekwama simu tajwa hapo juu inazima na kuwaka muda wote, nahisi ni tatizo la OS yake imeingia virus. Yeyote ambaye anaweza kusaidia kwa namna yoyote nahitaji msaada wake ili simu ifanye kazi.
 
Chap sana kawashtaki TCRA kwa kukuthihaki kuwa simu yako haizimwi

Second alternative ruka china chaaaap, jamaa wako vizuri watakurekebishia tu hata kama hauna guarantee.
 
Back
Top Bottom