Nahitaji kujua mahali mafundi bingwa wa simu Dar walipo.

habari wadau wa JF. kama kuna mdau anajua mahali penye fundi bingwa wa smartphone hapa Dar anipe mawasiliano au anielekeze sehemu kuna simu zangu zime hard brick.
Nawasilisha
Mi nafikir jf kuna mafund zaid wa huko mtaa... Eleza simu zako aina gani tukusaidie ku unbrick bila gharama zozote
 
Nina Note 3 ilikuwa na shida ya kukamata network , baada ya kupeleka kwa Fundi ndio haikamati kabisa. Vile vile Nina LG G4 ex AT&T haikamati 3G ila Edge na 4G tu. Just imported. Je ni kawaida kwa simu za US kuwa hivyo? Note 3 Vile vile ni ex AT&T
 
Weka full model ya hyo note 3,mara nyingi simu za mitandao kama At&t sprint na mingine sio nzur kwa huku kwetu mana zinakuaga locked hata band zake unakuta sometime hazifanan na kwetu
 
LG G4 H810
Note 3 = SM-N900A
 
Mi nafikir jf kuna mafund zaid wa huko mtaa... Eleza simu zako aina gani tukusaidie ku unbrick bila gharama zozote

simu yangu ni samsung galaxy s4 i9500 niliweka OS v5.0.2 (Lollipop) ya s6 ikawa inafeature za s6 ikawa ina dry battery faster na ku heat sana. sasa nikataka rudisha OS yake ya awali kwa odin ndo ikabrick hata kwenye samsung keis haisomi
 
Kweny odin umesema haionekan?
 
Back
Top Bottom