Msaada jamani...

Msaada jamani...

zoga

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
780
Reaction score
1,532
moderm yangu ya airtel E173u-1 wakati na unlock itumie laini zote cjui nimekosea nn baada ya hapo ikawa haisomi laini ya airtel na nyngn......naomba maelekezo please anayejua
 
Ulifannya backup ya qcn file kabla ya process zako? Na ulikua unaflash kwa njia ipi 1.huawei flashtool au 2.kwa firmware upgrade?? 3. Je ukiangalia kwenye devce info kwenye dashboard ya airtel wakati modem ipo connected imei unaiona ? Jibu hayo tupate pa kuanzia na tujue tunasolve vipi
 
Back
Top Bottom