Msaada katika hili...

Msaada katika hili...

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
872
Reaction score
999
Salami wakuu...
Poleni kazi,ebana ninasimu hapa H6 mpya tu,nilimpatia ndugu yangu aitumie lakini ameitumia siku yakwanza kwa kupiga picha ilikuwa vizuri tu,lakini siku iliyofuata alijaribu kupiga picha haikukubali yaani akifungua tu inaaandika "can't connect to camera"

Kama inavyosema kwenye picha hapo chini.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-19-12-45-24.png
    Screenshot_2016-07-19-12-45-24.png
    5.4 KB · Views: 50
Inaweza kuwa virus, jaribu kuirestore. Atakuwa km ilivotoka dukan ila kumbuka utafut app zote ulizodownload
 
Jaribu ku clear caches za camera tatizo linaweza kuisha.
 
Back
Top Bottom