jamii tv unasababisha usumbufu

jamii tv unasababisha usumbufu

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Kwenu wataalamu wetu fanyieni kazi hilo jamii TV sijajua kama ni Mimi tu au ni wote,tatizo linalonikuta Mimi ni pale TV inapo kuwa ipo offline yaani kuna errors zinajitokeza yaani hata button ya Ku rudi inakuwa haikubari wala ile option ya Ku cerat new thread haionekani
Pop up za errors kibao mpaka naboreka
 
Mkuu...
Achana na mambo ya Tv [emoji12], sababu Tv ni mambo ya kizamani, kulazimika kutazama na kusikiliza kile ambacho hauna uwezo wa kukijua zaidi ya kile unacho somewa. Huku tunapo soma na kutoa maoni yetu ndipo patam kwasababu tunapata uwanja mpana wa kujipambanua kwa kupata hoja na mikingamo tofauti, na huku tukitumbua majipu, na kurusha mawe gizani[emoji13]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom