mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 178
Wakuu nawasilimu sana na poleni na majukumu ya kila siku,
Naombeni msaada jamani laptop yangu ipo slow sana sijui ni kwanini, haijapita wiki mbili nimetoka kuweka window mpya, antvirus mpya tena ya mwaka mzima, nimeupdate kila kitu kinachotakiwa kuwa updated lakini bado ina mwendo wa kobe.
Specification zake ni nzuri ina RAM 4GB, Core i3 na processor pia iko fresh.
Sasa nipo kwenye giza sijui niifanyaje? nafikiria kuiuza ili ninunue yenye specification kubwa zaidi ya hapo, au kama kuna solution nyingine pllls naomba msaada wenu.