Msaada: Naomba kwa anayejua namna ya kuunganisha android phone kwenye TV via HDMI

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
239
72
Msaada wanajamvi.
Nimenunua phone, usb hdmi cable ambayo nilifikiri nikiunganisha na phine yangu ya tecno camon c8 itasoma kwenye tv. Kwa yyte mwenye ujuzi wa namna ya kuunganisha phone na tv anujulishe tafadhali
 
Ili kutumia USB-HDMI cable Na TV, inafaa simu yako iwe na huo uwezo(compatible). Kwa mfano Samsung Galaxy S4 yaweza kutumika.
 
inatakiwa uwe na cable maalumu inauzwa ebay sijui kama hapa bongo ipo duka gani,

ila ni usb to hdmi cable ila inakuwa na kibox kidogo chenye processor kinaitwa slimport... ila hizi usb to hdmi cable za kawaida zinakubali kwa baadhi tu ya simu
 
tumblr_inline_mrpwm4Q46x1qz4rgp.jpg

SlimPort (http://www.slimportconnect.com/)

SlimPort is a proprietary solution based on DisplayPort made by Analogix, a semiconductor company. SlimPort allows you to output uncompressed 1080p @ 60 hz through “any 5-wire port”, i.e micro USB, typically the only port on all Android devices for the past few years.

>> As of now the only notable devices that do support it include some devices made by LG such as the Nexus 4 and Nexus 7 2013 edition.
 
Android zote zinakubali kuanzia ile version 3.5 and later
nimecheki online nayo pia inachagua device, tena bora MHL ina support kubwa yenyewe hata device maarufu kama nexus 7 ya 2012 haisuport. ukienda kwenye brand samsung haipo inamaana tayari 33% ya android hazisuport bila kusahau wenzangu na mimi wachina karibia wote hawapo cheki hapa

SlimPort supported devices
 
yah,
MHL ni nzuri zaidi sababu Video zinakuwa compressed tatizo hapa lazima na simu iwe inasuport HML so kwa ubora naona bora slimport ikifatiwa na MHL

Sasa kwa Bongo duka gani?!
 
yah,
MHL ni nzuri zaidi sababu Video zinakuwa compressed tatizo hapa lazima na simu iwe inasuport HML so kwa ubora naona bora slimport ikifatiwa na MHL

Sasa kwa Bongo duka gani?!
sasa ubora wa slimport ni upi wakati simu chache tu ndio zinakubali?
 
Back
Top Bottom