Naomba kufahamu kuhusu Qsat q23g

Naomba kufahamu kuhusu Qsat q23g

potrayed

Senior Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
189
Reaction score
84
wanajamvi nawasalimu,naomba kuondolewa utata juu ya hii kitu,hivi qsat q23g unaweza tumia kotekote yaani kama fta receiver au kwa mambo yetu tuuu.
 
wanajamvi nawasalimu,naomba kuondolewa utata juu ya hii kitu,hivi qsat q23g unaweza tumia kotekote yaani kama fta receiver au kwa mambo yetu tuuu.
  • Yap upo sahihi, Kotekote waweza itumia
  • Kwa wasioijua QSAT Q23G sifa zake hizi hapa.
  • Na kama utahitaji hii receiver nitumie PM
Below are the basic specifications of Qsat Q23G

>>Full HD 1080P

>>Fully DVB-S2/MPEG-4/H264 Decoder.

>>8000 Channels memory space (TV+Radio)

>>32bit colors on screen display supported

>>Support SW Upgrade via USB, FTP and OTA

>>Frequency Range 950-2150MHz

>>S/PDIF Interface for digital stream out(AC-3)

>>2×USB2.0 for Multimedia

>>Supports DiSEqC1.0/1.1/1.2 and USALS

>>Multimedia play back.

>>10/100Mbit Ethernet Interface

>>Video Comperssion MPEG-2 and MPEG-1 compatible,MPEG-4,H.264 Videotexe Decoder

>>Letterbox for 4:3 TV-Device

>>Audio compression MPEG-1&MPEG-2 Layer Iand II,MP3 Audio Mode Dual (main/sub),stereo

>>Support Movie format:MPEG-2,MPEG,TS steam,AVI Divx, Divx Plus,QuickTime.MKV,ASF Microsoft

>>ISO MPEG-4 Video Codev1

>>Support Music format:WAVE MP3,ASF,AAC

>>Support Photo format:JPEG BMP PNG GIF TIFF

>>Support YouTube,YouPorn,N32 Game Yupoo,Picasa Flickr,Google map,Yahoo Weather and Online dictionary -
 
  • Yap upo sahihi, Kotekote waweza itumia
  • Kwa wasioijua QSAT Q23G sifa zake hizi hapa.
  • Na kama utahitaji hii receiver nitumie PM

lakini naona zinagoma sana,yaani kila wakati unakuta channels zimekuwa freezed,hata utamu wa kuwa na hivi ving'amuzi haupo kabisa
 
lakini naona zinagoma sana,yaani kila wakati unakuta channels zimekuwa freezed,hata utamu wa kuwa na hivi ving'amuzi haupo kabisa
  • Ni sahihi kabisa kwa AVATARCAM default account, ni kero tupu
  • Swali: Je umeshawahi kutumia cccam account?, Je umeshawahi kutumia IPTV account ?
............ utamu wa kuwa na hivi ving'amuzi haupo kabisa
  • Ili kuupata utamu wa hiki kingamuzi basi hakikisha unapata account ya CCCAM
  • Ili kujifunza zaidi CLICK HAYA MAANDISHI
 
  • Ni sahihi kabisa kwa AVATARCAM default account, ni kero tupu
  • Swali: Je umeshawahi kutumia cccam account?, Je umeshawahi kutumia IPTV account ?

  • Ili kuupata utamu wa hiki kingamuzi basi hakikisha unapata account ya CCCAM
  • Ili kujifunza zaidi CLICK HAYA MAANDISHI

mkuu hiyo account ya cccam ninayo na bado inaonyesha huku ikikatika katika,si hii yenye tv1..........?
 
Ndio hiyo hiyo TV1. Hii account nayo wakati mwingine husumbua Kama account ya avatorcam.

Ni bora tuwe wazi. Ukiiinunua hii account ya TV1, kufreeze ni jambo la kawaida kutokea Mara kwa Mara.
 
Ila wanaozitoa wanamaneno ya kuvutia si mchezo na cccam ni ghali sana.
 
wanajamvi nawasalimu,naomba kuondolewa utata juu ya hii kitu,hivi qsat q23g unaweza tumia kotekote yaani kama fta receiver au kwa mambo yetu tuuu.

Achana na huu upuuzi unasumbua sana .vitakulia hela bure tu.
 
mimi nilikuwa na mpango wa kuinunua lakini nimeshaondoa wazo badala yake nimenunua str4922 ambayo pia inakubali acount mbalimbali isipokuwa avatar na cccam pekee.hapa najipanga ili nione account ipi nitanunua
 
umenunua str4922 kuwa hii haina sifa ya kuganda au vipi? tatizo haya mambo ya kuchakachua yote ndio mle mle. ingekuwa kuna watumizi wachache kama zamani ungeangalia bila kero la kuganda. Tatizo wachina ni wajanja na wanaangalia hela tu , kwa hiyo wanazi over sales hizo account. kwa mfano kama server ina uwezo wa kuwahudumia wateja 100 wao watauza account zaidi ya 1000. kwa hiyo server inakuwa overloaded. wee fikiria sio bongo tu. nchi karibu zote nigeria, kenya .... na nk wote wanatumia account za server hiyo hiyo. na wateja wanazidi kila kukicha... balaaa. hapa ishu upate account ya server ambayo haijawa overloaded. kwa hiyo ujue tatizo sio decoder. tatizo hizo server za wachina zipo kibiashara zaidi
 
Msaada naombeni mniunge makundi ya Whatsapp simu iliibiwa kwa namba +255712227885na telegram +255654444064
 
Back
Top Bottom