Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni msaada wa maelekezo yenu juu ya aina gani nzuri ya Printer kwa ajili ya kusafishia picha za digital studio na bei zake. PRINTER YA KISASA KABISA ITAKAYONIWEZESHA KUFANYA BIASHARA KWANI...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Habari matechnician naomba kuelekezwa jinsi ya kurudisha imei ya simu ya itel pamoja na software zitakazo tumika
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada nahangaika na king'amuzi cha azam toka jana yaani hakisomi kabisa
0 Reactions
1 Replies
10K Views
*WAPENDWA WOTE* Leo nitawaletea somo la namna ya kupangilia fonts za maandishi yako katika Whatsapp Kina wakati unataka kuonyesha Kichwa cha habari ama msisitizo kwa ku-bold ama ku-highlight...
20 Reactions
94 Replies
13K Views
Niaje wakuu, Ni muda mrefu sijapost kitu humu. Leo nakuja na swala moja tu ambalo Kwa developers ni muhimu. Je kuna APIs zozote specifically kwa Tanzania? Mfano, tuna news network nyingi sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimepata updates za Marshmallow kwa simu yangu ya Galaxy J7 kupitia OTA. Hope wengine pia mkiupdate simu zenu mnaweza kupata. File size ni Mb 824 so inabidi uwe umejipanga hapo kwenye bando.
1 Reactions
0 Replies
891 Views
Jaman matechnician naomba msaada wa kuweza kuifungua / unlock HUAWEI Y3II Ili niweze kuenjoi laini zote kwani nateseka sana na kutumia laini walioikusudia. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Nimejaribu njia nyingi za kuroot hii simu bila mafanikio nilianza na hiyo kingroot sim inajiRestart tu na nikijaribu desktop version simu bado inajirestart nijaribu njia ipi? Kila njia nikijaribu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanajamii habari ya kwenu naomba mnisaidie jinsi ya kuondoa root kwenye sim , niliroot kwa kingroot sasa naona inasumbua sana simu inapoteza poteza sana inazima mara inawaka
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Offer ya microsoft ya kupata Windows 10 ya bure inaisha wiki hii, baada ya hapo bei zitaanzia $120 kwenda mbele kwa kila PC. Inapatikana hapa How to Upgrade to Windows 10 - Microsoft Upgrade...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa anaejua application inayoweza kuplay music wakati ukiwa unaongea na simu kwa muda huo huo yan(while calling),na pande zote mbili ukawa unasikika,kwa upande wa mpigaji na mpigiwa, msaada wako...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
natanguliza shukrani wakuu natumia window 7 professional (version 6.1.7601) inataka activation key nikifungua window kanakuja kameseji ka window activation wizard alafu inaandika this copy of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba kufahamu Kama kuna app ya kublock call, ambayo akipiga simu isipatikane kabisa na Siyo itoe notification ya kwamba simu inatumika Kama app Zingine zinavyofanya.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wakuu natumai mwaendelea vyema na shughuri ya kujenga taifa letu ni ivi wakuu naomba msaada wa apps aina mbalimbali na games za kijanja niinjoy hii simu natanguliza shukrani wakuu
0 Reactions
3 Replies
923 Views
nitawezaje kudownlod app ya beat maker kwenye simu yangu kama inawezekana kupakua kwenye simu naomba nifahamishwe
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Hey guys, today i decided to start making screen-casts mostly targeting swahili speakers, i am not very good speaking especially tech in Swahili so nimechanganya lugha kidogo lakini point is i...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimenunua iPad Mpya nahitaji niweze create ila inazingua email mwenye kujua jinsi ya kuweka email msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nikola Tesla was killed for these notes,killed by JP Morgan probably.His notes were read and that is how the new world order has become such a great force.Tesla laid the groundwork for creating...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Domain ya ,com,net kwa sh 17,000 tu,pia hosting imepunguzwa mpaka 50,000/= kwa mwaka baada ya 60,000/= Tuwasiliane kwa 0687 535650
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Hivi kuna njia ya kuongeza signal kwenye decoder kama ipo mbali na dish mfano mita100???? Maana ikiwa karibu signal nyingi
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Back
Top Bottom