Amon Vahaye
Member
- Jul 24, 2016
- 10
- 1
Jamani naomba kwa anae faamu anisaidie.ninasimu yangu aina ya Tecno h6 inasumbua line one mda wote inaandika emergency na pia setting za Internet za line 2 hazionekan kwaiyo nashindwa kupata 3G kwenye upande wa line 2 naomba kwa anaeelewa tatzo anisaidie