ulekwe
Senior Member
- Oct 28, 2014
- 197
- 176
Pita pita kwangu kwenye mitandao Leo hii nikakutana na habari kua Nokia wata toa toleo lao jipya na si jipya tu hila jipya kwenye mfumo wa Android 7.0 ujulikanao kama Nougat.
Tukumbuke Nougat ni Android OS iliyozinduliwa hivi karibuni Os hii mpya kutoka Google inakuja na vitu vingi sana. Baadhi ya vipengele hivyo ni Skrini inayojigawa katika Apps, maboresho katika eneo la Notification, Emoji mpya na mengine .
Aya wapenzi wa Nokia hapa patamu mana kama si mwaka huu basi mwakani mzigo unashuka tuone Nokia ataludi kwenye top chart kama iPhone ama Samsung galaxy?