Wadau ninasimu tecno boom j7 unapoiwasha baada ya dk3 inajizima na kujiwasha tena na nimejaribu kuifanyia head reset lakini tatizo liko palepale tatizo ni nini! Wadau.
Salam.
Mimi sijui mambo ya IT ila mimi ni mwalimu ila natoa wazo bure!!
Nyie watu walimu na wafanyakazi wa serikali wa idara nyingine wamekuwa wanahangaika humu kubadilishana vituo vya kazi mimi...
Habari wakuu
Nahitaji kufahamu jinsi ya kufanya flash(usb) kuwa bootable kwa kutumia command prompt kwa niweze kuweka windows na kuboot kwa kutumia flash hiyo
Asante
Hii ni messanger kama vile whatsapp ya kupata habari katika sekta mbalimbali ikiwemo michezo,burudani,uchumi,utabiri na hata michezo/games. Hii duta ipo whatsapp ambapo unadd namba sasa kwa...
Habari za muda wadau.
Kwa wale wenzangu wa kushisha (download) vitu mbalombali Kama movies, applications mbalimbali, novels, programs, n.k. Hasa kupitia site kubwa ya file sharing, Kickass.com...
Binafsi huwa si chezagi video games at all.
Especially "cellphone games " rafiki
Yangu mmoja ameni introduced kwenye hii game initwa Pokemon Go.
Nimejikuta nime tembea kilometa 32 bila hata...
Kampuni ya Samsungu mobile imezindua simu mpya aina ya Galaxy Note 7 ikiwa ni muendelezo wa Galaxy Note series. Simu hii mpya imekuja na vitu vingi vipya na vizuri zaidi ya aina zilizopita. Hapo...
Habari wanajanvi,nina hiyo tab tajwa hapo juu,inaninyima raha kabisa,kwanza internet ipo slow sana kwa upande wa mobile data,lkn nikitumia wi-fi ya ofcn mambo yanakua poa kabisa na speed ya...
Habari zenu wakuu, nina simu yangu Nokia Lumia 520. Nilliupgrade OS kutoka 8.1 kwenda 10. Matokeo yake inachemka balaa unaweza hata kuchemshia maji, pia inamaliza chaji mapema almost masaa mawili...
Kijana Deodatus Goodluck Mtanzania ambaye ameonyesha umahiri wa hali ya juu katika sayansi kwa kutengeneza Solar Packs (Bags) kwa ajili ya kusaidia nishati hasa kwa vijijini watoto wetu wasome na...
Hellow,
Ninahitaji kumblock/mute user mmoja kwenye group la whatsapp bila yeye kujua, nafanyaje. Maana ni tatizo kwenye group na hatuwezi kumtoa ili asijue lolote.
Asante
Kuna kitu nilikuwa nawaza jinsi hawa jamaa walivyoweza kugundua umeme na kufanya kila mashine ili ifanye kazi lazima itumie umeme,huu uwezo wenzetu wameutoa wapi?
Kibaya zaidi walivyokuja...
Nimependa hii app ya Mobdro ambayo inakuwezesha kuona channel za tv kwenye simu zikiwemo dstv, discovery, movies, Nat Geo, sports na kadhalika. Hivi inawezekana kutazama channel hizi kwenye tv...