How to activate Window 8. 1 pro? ,,( help me please)

Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
43,960
150,440
Wadau natanguliza salamu,,, naombeni kusaidiwa nawezaje kupata key za kuactivate window 8. 1pro
 
Kuna ambayo tayar ipo activated tafuta hio image u install mojakwa moja.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hizi activator unatakiwa kuwa makini kuna muda winkdow ina varnish moja kwa moja unaanza ku installl upya. Ni muhimu ukawa nazo mbilia au zaidi na disc imaje moja au zaidi kwa emergency
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom