Peaceful Warrior
Senior Member
- May 28, 2013
- 125
- 28
Habari za sasa hizi waJF mimi nakaribia kuhitimu chuo wiki ijayo nimekaa nikaona ni bora nitafute ulaji kidogo. Nimewaza bora nifungue play station mtaani kwetu. Je nitapata wapi hivyo vifaa kwa bei nzuri. Nahitaji ps3 kama tatu hivi. Naombeni msaada na ushauri pia kwa mwenye uzoefu wa mambo haya.