Mwanafunzi atengeneza simu isiyotumia air time

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
643
Reaction score
846
Mwanafunzi wa Darasa la 12 nchini Namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu.

Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham Iyambo Senior Secondary School, ametengeneza simu hiyo kwa kutumia spea za simu zilizoharibika na Mabaki ya tv iliyoungua na kuiunganisha na light bulb, fan and charger socket, simu hiyo inapata chaji yake kupitia radiator and inaweza kupiga simu popote pale kwa kutumia mawimbi za redio (radio frequencies).

The invention, which is made up of a radio system na ameiweka katika boksi ambapo unaweza kuangalia kupitia simu hiyo Chaneli moja ya Tv.

Mwanafunzi huyu huyu mwaka jana alishinda a gold medal at national level for his invention of a two-in-one machine that works as both a seed drier and cooler.

As a Tanzanian I believe that hata sisi watoto zetu wanaweza kugundua vitu vingi sana tunachotakiwa kufanya ni kuwapa nafasi.
 
Mkuu Kwanza hapo hakuna ugunduzi mpmpya hio ni assembling tu ya tools halafu hio simu yake hawezi tengeneza nyingi na zika operate properly, Chip ndo zinatenganisha mteja na mteja sasa hapo anaturudisha mambo ya radio call ambayo ni full interference of Waves yani muingiliano wa mawimbi...Anahitaji pongezi kwa kufanya ivo pia japo sheria sidhani kama zinaruhusu testing bila vibari...Bongo ni siasa siasa na wananchi hata taasisi za elimu ni siasa kuna dogo aliunda transmitter way back na kurusha mawimbi ya Fm radio hapa hapa tz mamlaka zilimfata na kumuonya aache kuingilia frequency za watu na wakamuacha bila kumchukua na kumuendeleza
 
Huku kwetu ukijifanya mgunduzi utakiona cha mtema kuni toka Tcra,,
Kuna Mnyakyusa mmoja kajifanya kutengeneza Chopa yke,, akaipaka na Rangi ya bendera ya Tanganyika,, walichomfanyia hao Tcra hata kaa asahau huko kwao mbeya,,
Hadi juzi Afrika kusini walipomwonea huruma wakamwita aende kwao wampe pole kwa manyalila yaliyompata huku kwetu.
 
Kuna jamaa alishawai kugundua radio siku hizi simsikii,uyu wa ndege juzi wazee wamempiga marufuku vijana wengi ni maexpect ila wanaongoza taasisi husika ni tatizo kubwa sio watu sahihi wakukaa apo
 
Mwanafunzi wa Darasa la 12 nchini namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu.
Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham Iyambo Senior Secondary School, ametengeneza simu hiyo kwa kutumia spea za simu zilizoharibika na Mabaki ya tv iliyoungua na kuiunganisha na light bulb, fan and charger socket, simu hiyo inapata chaji yake kupitia radiator and inaweza kupiga simu popote pale kwa kutumia mawimbi za redio (radio frequencies).
The invention, which is made up of a radio system na ameiweka katika boksi ambapo unaweza kuangalia kupitia simu hiyo Chaneli moja ya Tv.
Mwanafunzi huyu huyu mwaka jana alishinda a gold medal at national level for his invention of a two-in-one machine that works as both a seed drier and cooler.
As a Tanzanian i believe that hata sisi watoto zetu wanaweza kugundua vitu vingi sana tunachotakiwa kufanya ni kuwapa nafasi.
Haja tengeneza simu atakuwa ametengeneza radio call maana yake katengeneza radio and transmitter mbona hiyo very easy sana
 
Huku kwetu ukijifanya mgunduzi utakiona cha mtema kuni toka Tcra,,
Kuna Mnyakyusa mmoja kajifanya kutengeneza Chopa yke,, akaipaka na Rangi ya bendera ya Tanganyika,, walichomfanyia hao Tcra hata kaa asahau huko kwao mbeya,,
Hadi juzi Afrika kusini walipomwonea huruma wakamwita aende kwao wampe pole kwa manyalila yaliyompata huku kwetu.
Kua mpole ndugu, usikurupuke kama huyu nanilinhii wa ccm,
Jifunze kutofautisha kati ya TCRA na TCAA yaan tanzania communication regulatory authority TCRA na tanzania civil aviation authority TCAA...
 
Mwanafunzi wa Darasa la 12 nchini namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu.
Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham Iyambo Senior Secondary School, ametengeneza simu hiyo kwa kutumia spea za simu zilizoharibika na Mabaki ya tv iliyoungua na kuiunganisha na light bulb, fan and charger socket, simu hiyo inapata chaji yake kupitia radiator and inaweza kupiga simu popote pale kwa kutumia mawimbi za redio (radio frequencies).
The invention, which is made up of a radio system na ameiweka katika boksi ambapo unaweza kuangalia kupitia simu hiyo Chaneli moja ya Tv.
Mwanafunzi huyu huyu mwaka jana alishinda a gold medal at national level for his invention of a two-in-one machine that works as both a seed drier and cooler.
As a Tanzanian i believe that hata sisi watoto zetu wanaweza kugundua vitu vingi sana tunachotakiwa kufanya ni kuwapa nafasi.
Angekua tanzania ungekuta yuko jela mda huu na faini ya milioni kadhaa
 
Kawaida ya Watanzania, kila kitu tunajua. Mpaka kutangazwa inamaana ni kitu cha pekee kufanyika na kama kingekuwa cha kawaida wasinge mpa hio heshima.
mkuu ukiona tu mtu anadai amegundua kitu fulani bila technical specification ujue kuna namna. ni rahisi kwa watu wa kawaida kumpa tuzo huyo jamaa sababu hawafahamu hata alichofanya ni nini. sio kwetu Africa tu hata huko ulaya wanafanya sana mambo haya ya kuwapa watu sifa wasizostahiki mfano mzuri kumbuka tu ile issue ya yahoo na yule dogo wa summly.

mfano mimi hapa kutokana na huo uzi najiuliza maswali haya
-mahusiano ya bulb na alichogundua/kutengeneza
-inapiga simu popote amemaanisha nini? dunia nzima? kama ni dunia nzima mfano anapiga simu marekani kitu gani kitahamisha data toka pale alipo hadi marekani?
-mbona tuzo amepewa kwa ajili ya kitu chengine ambacho mleta mada hajakizungumzia na amezungumzia ambazo hatujaambiwa kama amepewa tuzo?

hio seed drier sijui amemaanisha mashine ya kukamulia mbegu? mimi huwa namheshimu sana mtu ambae anafanya innovation kutokana na mazingira yaliyomzunguka kuliko hizi impossible dream.
 
Mkuu Kwanza hapo hakuna ugunduzi mpmpya hio ni assembling tu ya tools halafu hio simu yake hawezi tengeneza nyingi na zika operate properly, Chip ndo zinatenganisha mteja na mteja sasa hapo anaturudisha mambo ya radio call ambayo ni full interference of Waves yani muingiliano wa mawimbi...Anahitaji pongezi kwa kufanya ivo pia japo sheria sidhani kama zinaruhusu testing bila vibari...Bongo ni siasa siasa na wananchi hata taasisi za elimu ni siasa kuna dogo aliunda transmitter way back na kurusha mawimbi ya Fm radio hapa hapa tz mamlaka zilimfata na kumuonya aache kuingilia frequency za watu na wakamuacha bila kumchukua na kumuendeleza
Kuna darasa la sita at 13 yrs old mwka 2000 alibuni redio station na kurusha matangazo ndan ya km moja apa Mburahat.cjui aliishia wap.km angewezeshwA hopin nw angekua mbali sana.alifel mtiani wa kumalza elimu ya msing.
 
  • Thanks
Reactions: C J
Back
Top Bottom