Msaada wa kutoa lock ya pattern kwenye smartphone

mozoo

JF-Expert Member
Jul 21, 2016
210
94
Habarini wana JF?
Ni hv dogo kachezea cm yang ya Huawei ascend na bahati nbaya kaweka pattern ambazo hakumbuki namna ya kuzitoa,wengne wamenishauri nikafrash lakn inakuwa ngumu maana nimeulizia wanasema ukifrash kila kit kinafutika hivy inakuwa ngumu maana kuna vitadata vyang vya muhim sitaki vifutike HVO basi Naombeni msaada wenu wa kitaalam kutoa lock ya pattern kweny hii cm bila kufrash.

Asanteni sana.
 
hapo lazima vifutike mkuu,bonyeza button ya vol kwenda chini na power button kwa pamoja kwa kama dk moja!
 
Ya ni android ni huawei Ascend y330
Simu yako itabidi uizime halafu baada ya hapo bonyeza home+vol down+ power button itakuletea menu ya kufanya restoration na vitu vilivyomo kwenye CMU itafutika.
 
Huwa kuna paswed za kutengenezea pattern kama unazikumbuka weka kimakosa kama mara 5 alafu itakuomba pin kwa Samsung huwa inakuwa hivyo sijuwi Huawei kama inakuwa ivyo
 
hapo lazima vifutike mkuu,bonyeza button ya vol kwenda chini na power button kwa pamoja kwa kama dk moja!
Mkuu naona inaleta information hz
Fastboot&Rescue mode na inaitaka niconnect kweny USB then kwenye computer
Nifanyeje mkuu hapo
 
Kama unakumbuka email uliyojiungia huenda ikakusaidia.
Kosea kosea kisha itakupa option kama umeforget password, then ingiza email na password ya email, login na create pattern upya.
 
Simu yako itabidi uizime halafu baada ya hapo bonyeza home+vol down+ power button itakuletea menu ya kufanya restoration na vitu vilivyomo kwenye CMU itafutika.
Niwefika kweny kufanya restoration, swali je hyo restoration nafanyia kwenye sim hii au external device kama computer
 
Nashukur kwa ushaur, naufanyia kaz.
Sijui kwa huawei inakuwagaje! Wa tecno ungeenda kwenye security, halafu kuna kibox kwenye menu ya "power button lock instantly" unaondoa ile alama ya vema kwenye hicho kibox! Sasa kwa hiyo ya kwako sijui!
 
Kwanza kabisa unatakiwa hufanye kama walivyo kwambia hapo juu,
1. Zima simu, nakushauri utoe betri kwa sekunde kadhaa, hii itakusaidia pale inapo ingia fastboot badala ya Recovery mode.
2. Chagua backup user data
3. Acha simu imalize kufanya backup
4. Sasa wipe data/factory reset.............. Kisha chagua reboot system now...!
Simu ikiwaka tumia file manager na uingie kwenye folder lenye jina la backup......... Ndani utakuta kila kitu zikiwemo picha na Documents ulizo download kwenye mtandao.
 
Back
Top Bottom