Boko halal
Senior Member
- May 14, 2014
- 175
- 124
Simu yangu tecno m9 imegoma kuwaka inaishia kwenye logo ya tecno tu imeflashiwa lakini tatizo lipo pale pale, naombeni msaada wa kiufundi ili iweze kutengenezeka.
Mkuu unamaanisha haitaponaDu kaka kwa simu za tecno hapo ni sheeda zinasumbuaga sana kinamna hiyo kuna jamaa angu alipata shida sana hadi akaisamehe Na simu yenyewe
Umejaribu kufanya hard reset na kuwipe cache?Simu yangu tecno m9 imegoma kuwaka inaishia kwenye logo ya tecno tu imeflashiwa lakini tatizo lipo pale pale, naombeni msaada wa kiufundi ili iweze kutengenezeka.
Imeshakufa hiyo mkuu.msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.
kama bado unayo na ulishaiflash ikaendelea kuzingua nenda kwa fundi mwambie akutengenezee/afanye replacement ya power button.Imeshakufa hiyo mkuu.
Nilikuwa na Samsung Galaxy S3 ilinifanyia hivyo mwaka jana,nilihisi kudata maana niliipenda mno simu yangu.
Nilihangaika kwa mafundi wataalamu,nilichoambiwa nitoe laki kuitengeneza.
Nilisusa hadi kutumia Samsung nimekuja kuirudia hii brand yapata miezi mitatu sasa.
Pole,tafuta namna nyingine.
Samsung ipi?msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.
Wapiiiiii hiyo nilimtafuta hadi mtaalamu Chief-Mkwawa ikamshinda.kama bado unayo na ulishaiflash ikaendelea kuzingua nenda kwa fundi mwambie akutengenezee/afanye replacement ya power button.
says me.
Ili kuinusuru hiyo simu unatakiwa kufanya yafuatayo....msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.
ina uhakika wakupona asilimia 100% na iyo ilo nitatizo la kawaida sana na pindi cmu inapo flashiwa inaweza chukua mda ata wa dakika 30minits ndo iwake inategemea nahii hutokea mara1 1 sana pia kama imefanya ivo baada ya kuflash wipe data + wipe cache +wipe partition iwashe ipe mda wa lisaa limoja angalia kama ikiendelea ku hang on logo badilosha file huena file ulilotumia ni chenga bro! pia ata utalotumia mara yapil likigoma jarbu tena firmware nyingne nauhakika itapona.Simu yangu tecno m9 imegoma kuwaka inaishia kwenye logo ya tecno tu imeflashiwa lakini tatizo lipo pale pale, naombeni msaada wa kiufundi ili iweze kutengenezeka.
yah iyo yaku flash tu ni crashez za kawaida kabsa katka cmu ko first step test kui factory reset u wipe na partition ikiznguo download odn download na firmware yake iflash itaponamsaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.